Safiii.
Kuna uliyempenda humu? Au kuna unayemtaka?
Na akileta ukorofi namshtaki kwako...
Basi subiri utapendwa....
Hata akikunyima umshaki pia, usivumilie hata kidogo.
Mkuu umeadimika sana wewe,
Au ulikuwa pm?
We unanipenda?
Basi usijali... sasa hivi utaibua bonge la handful...
nimeoa,si unajua ndoa changa raha tu,kila nikiwaza kuingia JF naona kama nishachelewa kujibu post