Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Bado,we mbona hutongozi??
naogopa
kaka huyu Honey Faith hakutoa masharti alikimbia tu....
Si nilikwambia jamani nataka gari ili niendane na JF ladies ukakataa sasa nifanyeje wakati wenzangu wote wana magari?
Naona umenimis miss eeh
Tatizo lake bahili huyo
oya, tugusane kidogo basi..
jamaa ananyumba kibao za maana hapo dar we unamuita bahili?
hivi uko serious kabisa kuw hujui kabanga ni nani hapo dar?
mi nimemwambia Valentina
anajua huwa tunagusanaje...
ila poa kama na wewe unataka.
mim natafuta binti yeyote awe na miaka kuanzia 18 ila asizid 35 na awe mwelewa, msikiv na mwenye elim ya kuanzia diploma au form6 itakua ni advantage, npo whatsapp, telegram, wechat, viber na kooote
afu mbona unakuwa hivyo wewe?