Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
kama vile kuna kitu hukielewi eeh,
Basi nahisi kuna kitu kweli sikielewi
Waogopa nini?
oya, tugusane kidogo basi..
Sana tu, nakiona kitanda kukibwa ka uwanja wa mpira!
ahaa.. kielewe bana! unajua sa hivi hapa tuko wa tatu tu?
yaani mimi wewe na 'Valentina' moja basi asogee karibu yangu tugusane kidogo.
usiogope tuko peke yetu tu
ahaa.. kielewe bana! unajua sa hivi hapa tuko wa tatu tu?
yaani mimi wewe na 'Valentina' moja basi asogee karibu yangu tugusane kidogo.
usiogope tuko peke yetu tu
Kipunguze ukubwa
Mmh! Mbona mimi siyo fundi seremala? Njoo unosaidie basi!
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
Haya nakuja,anza kuandaa vifaa
Eti we umesikia kilichosemwa kwani??
Asantee!!! Nakutayarishia milkshake unapenda strawberry au vanilla?
nilikuwa nyuma ya sofa kwani kimesemwa nini sijasikia.
Vanilla bhana
Hii tamthilia inaitwaje kwan?