Live.......Tanzania Vs Sudan !!!!!!!!!!!! & CECAFA


Mtu wa Pwani,

ni watanzania wachache sana (waliozaliwa baada ya mwaka 1964) wanaofikiria vibaya hivyo kuhusu watu wa visiwani au bara. Nadhani haitakuwa generalization nzuri kutumia waliyofanya ccm (kumzima Dr Salim kuwa rais) na kusema kuwa watanzania wote hawapendi watu wa visiwani.

Maazimio ya ccm siku za karibuni sio kwa manufaa ya watanzania wengi ndio maana nilipigana sana na Mchambuzi hapa na kampeni zake kuwa rais ajaye lazima awe mkristo!
 
Hivi huyu jamaa analipwa kiasi gani vile. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi nilisikia yuko kwenye 600 000 US$ kwa mwaka. Je ya kweli haya? Kwa mtaji huo mpaka qualification za world cup ziishe atakuwa amesomba US$2.4 million (2.8 Billion Tshs) na RSA World Cup 2010 hatutaenda.
 
SAS alibaniwa na Wazanzibari wenzake, mtandao wakacapitalize kwenye hilo.

Nawatakia mafanikio mema is it Mapinduzi Boys au Zanzibar Heroes?
 
Huyu Maximo ni FISADI soka m-bishi, mkaidi, haambiliki na jeuri. Wadau mara kadhaa wamemshauri awaongeze akina Machupa na Kaseja yeye ajajitia ungangari sasa kiko wapi?
 

Khe khe khe.......... hizo ndizo tuliambiwa analipwa tena kwa siri hata halipi kodi. Tukasema angalau wangetumia kwenye grassroots kuendeleza vipaji kwenye michezo mbali mbali lakini jamaa wanaona ni bora azitafune huyu Mbrazil (Mbabaishaji). wabongo bwana wamenichosha kabisa bora mgeni ashibe kuliko uzalendo.
 
SAS alibaniwa na Wazanzibari wenzake, mtandao wakacapitalize kwenye hilo.

Nawatakia mafanikio mema is it Mapinduzi Boys au Zanzibar Heroes?[/QUOTE]

yote hayo ni majina ya timu yetu ila sana tunawaita zanzibar heroes lkn na jingine linatumika
 
Maximo mjanja kesha jichanganya na kwa kuwa kaletwa na msanii JK kesha kuwa msanii pia ukitaka kujua haya angalia anavyo sema hovyo kwenye TV. Yeye pia anapenda media kama Boss wake JK . Tanzania bwana ni kichekesho kila mahali sijui wapi siasa utaachwa ili watu wafanye kweli .
 

mbona mnaulumu sana maximo, hamuoni kuwa wachezaji hawana viwango? hivi nani ana uwezo wa kugeuza shaba dhahabu?


kuutaka uongofu bila ya kufata njia zake ni sawa na kulitaka jahazi kutembea nchi kavu
 
mbona mnaulumu sana maximo, hamuoni kuwa wachezaji hawana viwango? hivi nani ana uwezo wa kugeuza shaba dhahabu?


kuutaka uongofu bila ya kufata njia zake ni sawa na kulitaka jahazi kutembea nchi kavu

Kama mnamuhusudu mchukueni awe kocha wenu. Kwi kwi kwi kwi.............................................
 
Nadhani walitakiwa wapelekwe Bungeni kwanza kabla ya kwenda kushiriki mashindano na pia walitakiwa wapewe dinner na JK pale Ikulu.
 
Kama mnamuhusudu mchukueni awe kocha wenu. Kwi kwi kwi kwi.............................................

Dua..........

sisi miaka nenda miaka rudi timu yetu inafundishwa na makocha WAZALENDO,WAZANZIBARI HALISI,WANA KINDAKINDAKI,MA-AR-BAAB WA KIZANZIBARI. Safari hii timu inafundishwa na mheshimiwa naibu katibu mkuu WIZARA YA UTAWALA BORA ZANZIBAR

MHESHIMIWA ABDUL GHANI MSOMA​
 

kule uzalendo ni jadi.

naibu katibu kaacha ofisi kwa kutetea taifa.

yuko anaenda mbio na vijana kwa kuleta hadhi ya taifa sio kuangalia ntapata ngapi
 
Sudan reach Cecafa final

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…