Sio kipindi maalumu, wanavuta muda kabla ya kuanza kutangaza matokeo ya majimbo yaliyobaki...sasa anauliza swali mshkiji mmoja toka ZAMBIA, anauliza jinsi gani NEC inavyoweza kukwepa mtihani... kwani NEC ndo wanaotetea serikali iliyoko madarakani, swala la msingi ni jinsi gani NEC inaweza kufanya lazi kwa uhuru bila kuingilia na serikali: conflict of interest kati ya rulling system dhidi ya NEC