Rais Samia anashiriki mkutano wa kawaida wa 38 wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa afrika (AU)

Rais Samia anashiriki mkutano wa kawaida wa 38 wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa afrika (AU)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), leo Tarehe 15 Februari, 2025 Addis Ababa, Ethiopia.

Moja kati ya jambo muhimu linalosubiriwa katika mkutano wa AU, ni nani atamrithi Moussa Faki Mahamat, raia wa Chad, kama Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika? Hili ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwa katika mkutano wa kila mwaka wa wakuu wa nchi wa taasisi hiyo, unaofanyika Jumamosi tarehe 15 na Jumapili Februari 16 mjini Addis Ababa.



View: https://www.youtube.com/live/ws4eChit3WQ?si=ovd4KV2MhsBqq5XM
 
Back
Top Bottom