LIVE UPDATE: Azam vs Mgambo

LIVE UPDATE: Azam vs Mgambo

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
3,856
Reaction score
1,648
Mpira ni mapumziko Azam 0 Mgambo 0

Kadi tatu za njano kwa azam ( Mwaikimba, sure boy na kapombe)

FULLTIME: azam 0 mgambo 0.

MPIRA NI AMANI MPIRA NI UPENDO NA YANGA NDIO MPIRA WENYEWE
 
Mpira bado azam 0 mgambo 0. Tuombe mungu matokeo yabaki hivi hivi. Kipindi cha pili
 
Weka na dakika mkuu. Naona leo Yanga na Simba zinaungana kuiombea mabaya Azam

Sisi Yanga hatumo, hatuangalii mechi za Azam, tunaangalia anayakuja mbele yetu tu ambapo tunataka kushinda mechi zote hivyo hata Azam akishinda zote hafui dafu!
 
Dakika nshasahau mi naomba mpira uishe tuu. Azam wako kumi uwanjani
 
Himid Mao wa azam kalimwa kadi nyekundu
 
Azam wanacheza rafu tu....Free kick kuelekea lango la Azam..

Azam watamkumbuka Joseph Omog'
 
jamaa amepost saa 17:03 kuwa mpira bado ni bila bila, tukitoa dakika kumi na tano za mapumziko, basi sasa hivi itakuwa ni kama dakika ya ishirini kipindi cha pili.
 
Weka na dakika mkuu. Naona leo Yanga na Simba zinaungana kuiombea mabaya Azam

Muungano unaowezekana ni ule wa Azam na ndugu zao Simba. Wafanye kikao waamue nani aifuate Yanga kupanda ndege mwakani.
 
Mgambo wanakosa goli la wazi hapa. Mwaikimba hoi anaomba sub
 
Mgambo JKT wanakosa goli la wazi...

Dakika ya 75

Mgambo JKT 0-0 Azam FC
 
Back
Top Bottom