Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mpira ni mapumziko Azam 0 Mgambo 0
Kadi tatu za njano kwa azam ( Mwaikimba, sure boy na kapombe)
Weka na dakika mkuu. Naona leo Yanga na Simba zinaungana kuiombea mabaya AzamMpira bado azam 0 mgambo 0. Tuombe mungu matokeo yabaki hivi hivi. Kipindi cha pili
Weka na dakika mkuu. Naona leo Yanga na Simba zinaungana kuiombea mabaya Azam
Faulo kuelekea mgambo
Haumo wakati unaandika?Sisi Yanga hatumo, hatuangalii mechi za Azam, tunaangalia anayakuja mbele yetu tu ambapo tunataka kushinda mechi zote hivyo hata Azam akishinda zote hafui dafu!
Weka na dakika mkuu. Naona leo Yanga na Simba zinaungana kuiombea mabaya Azam