LIVE UPDATE: Azam vs Mgambo

Jamaa kapiga faulo mpira umetoka nje kabisa ya uwanja wa mkwakwani
 
Kona kwenda mgambo. Kipa na beki wanagongana. Ovyo kabisa hawa migambo
 
Mpira umechangamka kuna dalili aZam na uchache wao wakashinda. Azam 0 mgambo 0
 
hawa azam kama ndo hivi wanacheza ni wazi wataambulia kichapo kwa mikia
 
Duh so ina maana haiwezi kufanya lolote
 
Huyu Refa....

Mpira umeisha...

Mgambo JKT 0-0 Azam FC
 
FULLTIME: azam 0 mgambo 0.

MPIRA NI AMANI MPIRA NI UPENDO NA YANGA NDIO MPIRA WENYEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…