Live Update Mkutano wa Chadema Morogoro. Leo 20/Aug/2015 Dk Kuwasili Saa Nane Mchana kwa Chopa

Live Update Mkutano wa Chadema Morogoro. Leo 20/Aug/2015 Dk Kuwasili Saa Nane Mchana kwa Chopa

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
5,400
Reaction score
1,182
Mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Dr slaa na timu ya viongozi wa CDM, hapa Morogoro, kuazia saa nane mchana, na waru kupata fursa ya kutoa maoni yao ya rasimu ya katiba mpya. Ni Morogogoro, katika viwanja vya shule ya msingi ya k ndege.

Tutawaleteaa live update
CC Wadau wote wa JF Morogoro Mjini.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    144 KB · Views: 299
Taarifa zilizopo ni kuwa leo Dr. Slaa atakuwa Ifakara Mjini katika kiwanja cha Kiyungani.
 
mikutano ya chadema kwa sasa inadoda, watu wameshazizoea hizo chopa, sio dili tena
 
Nyambafu. Kwani umeambiwa dr. slaa anakuja kuonesha chopa?

kwani ulikuwa hujui?? anaenda kuuza sura kwa chopa, ameona akienda yeye watu hawajitokezi kwa hiyo anatumia chopa kama kivutio
 
kimsingi jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa chadema pale dodoma .Kimsingi siasa zinazofanywa na chadema ni siasa za kisataarabu sana jana niljikumbusia somo ya siasa au uraia ambalo nilisoma miaka 1980 na mwanzoni mwa 1990 kitu kilichofanywa ni kuelimisha watu kuhusu katika na watu walikuwa makini sana kusikiliza na nilifurahi zaidi pale watu walipokuwa wanatoa maoni walionyesha kuwa na uelewa na wanahitaji mabadiliko mazuri na cha kufurahisha ni jinsi watu walivyokuwa wanasini fomu za mahudhuria kwa hiari yao kama vile daftari za mahudurio darasani .Kwa siasa na mambo niliyoyaona jana hakuna njia nyingine zaidi ya ukombozi.Nawatakia kila lakheri chadema na Mungu awatangulie kuelimisha watanzania wote.
mikutano ya chadema kwa sasa inadoda, watu wameshazizoea hizo chopa, sio dili tena
 
Huku ni kupoteza pesa tu bure na kuiba hela za posho.

maoni yameshakusanywa na tume ya katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

hivi kila chama kikifanya uhuni huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?
 
NONSENSE U DNT LOOK LIKE MEN

tein
"As far as the laws of mathematics refer to reality, they are not certain; and as far as they are certain, they do not refer to reality." - Albert Einstein
 
bora cdm kuliko magamba ambayo hayana tena uwezo wa kufanya mikutano,upuuz wa malori cku hizi watz hawataki.viva cdm
 
na bado,magamba mtaweweseka sana mwaka huu,ni umbulula uliopitiliza wanaume wazima kuishi kwa buk7 za lumumba
 
Najua cccm wanawivu sana kkuona CDM tunavyo piga kazi na watu wanajaa kama kawaida ila wao wanampela mbana puua Diamond na watu hawajai. VIA CDM
 
Back
Top Bottom