mikutano ya chadema kwa sasa inadoda, watu wameshazizoea hizo chopa, sio dili tena
Nyambafu. Kwani umeambiwa dr. slaa anakuja kuonesha chopa?
mikutano ya chadema kwa sasa inadoda, watu wameshazizoea hizo chopa, sio dili tena
Magari hamsini na kukodisha vikundi vya bongo fleva nazekomedi ni bei gani..Chopa kwa chadema ni usafiri tumikutano ya chadema kwa sasa inadoda, watu wameshazizoea hizo chopa, sio dili tena