King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Leo ndio kilele cha siku ya maonyesho ya saba katika uwanja wa Mwalimu Nyerere Trade Fair bara bara ya kilwa
Tujumuikeni wote kwenda kusupport wafanyabiashara!!
Angalizo:Kamanda Kova na Mwema tunaomba ulinzi wa kutosha isije ikatokea yale ya A-city,pia wadau mtoe taarifa kwa polisi endapo ukimuhisi mtu asomekisomeki vizuri au ana begi au fuko lililo kaa hovyo hovyo au lisiondena na tukio lenyewe.
Nawasilisha.