Watu wenye nia ya kujufunza hutembelea maonyesho siku za mwanzo, leo ni hakuna kitu ni fujo tu, na ukizingatia yale ni magurio na si maonyesho, kuna Docomentary moja nilipewa yenye maonyesho ya biashara kwa zaidi ya nchi 20 kwa kweli bongo hakuna maonyesho that is why unakuta watoto wamejazana humo, Ni maonyesho ya Tanzania pekee unayo weza kutana na haya, na ndo maana hata yale mabanda yenye vitu muhimu vya kujifunza hakuna watu, ila yale mabanda yanayo uza sijui vitu vya urembo na promotion sijui za nini ndo kuna watu nyomi, hata maonyesho ya Kilimo ni hivyo hivyo. Maonyesho ya kilimo unakuta yamejaa taasisi za Serikali ambazo zingine wala hazina uhusiano wa moja kwa moja na kilimo, Ila wako pale kula Posho
Maonyesho ya Bongo yametekwa na kampuni za simu, utakuta mabanda yao kila kona, unaweza zani ni maonyesho ya makampuni ya simu, na kibaya wako mule kuuza simu zao tu na kampuni moja unakuta ina mabanda ya kutosha mule
Ni full usanii, Tantrade wako kimapato zaidi