Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha hatufai afukuzweSimba wanacheza upuuzi gani huu
Simba wanacheza upuuzi gani huu
Umekwisha mkuu, Mikia wameambulia point 1. Yaani leo wamecheza mpira utadhani walikuwa wamekesha Shivaz night club!!!Mpira umeisha...?
Simba Ndanda ni 0 - 0Wadau weken Update za Matokeo
Simba vs Ndanda
Kagera vs Biashara
KMC vs SINGIDA UTP
LIPULI vs MTIBWA
Ungeingia uwanjani tu.. hata kuharibu game ni njia nzuri tu...Simba wanacheza mpira wa taratibu sana, wanacheza kama wameshashinda.
Dakika za mwisho ndio wanataka waanze kucheza mpira wa kushambulia kwa kasi.
Kasi inabidi ianze dakika ya kwanza.
Watu tumesafiri hadi Mtwara halafu tunashuhudia wachezaji wanacheza kama wapo kwenye mazoezi vile.
Hii ni Aibu kwa wachezaji na kocha wao.