LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Wadau weken Update za Matokeo
Simba vs Ndanda
Kagera vs Biashara
KMC vs SINGIDA UTP
LIPULI vs MTIBWA
 
Ngapi ngapi jamani? Au Simba ndo kisha nyukwa?
 
Simba wanacheza mpira wa taratibu sana, wanacheza kama wameshashinda.
Dakika za mwisho ndio wanataka waanze kucheza mpira wa kushambulia kwa kasi.
Kasi inabidi ianze dakika ya kwanza.
Watu tumesafiri hadi Mtwara halafu tunashuhudia wachezaji wanacheza kama wapo kwenye mazoezi vile.
Hii ni Aibu kwa wachezaji na kocha wao.
 
Ungeingia uwanjani tu.. hata kuharibu game ni njia nzuri tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…