Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Ligi kuu tanzania bara leo inaendelea wekundu wa msimbazi simba watakuwa uwanja wa taifa kumenyana na wakata miwa wa kagera huku azam fc lambalamba wakiwa mjini shinyanga kumenyana na wachimba madini wa mwadai fc. mechi nyingine mjini tanga coastal union vs toto africans uwanja mkwakwani .
 
=============Full time=========

Simba 0-2 Kagera
 
Kagera timu funga hao Mikia warudi msimbazi wakauze mitumba!
 
Kikosi cha Mikia sc kitakacho babuliwa leo dhidi ya Wakata Miwa Kagera Suger ni=

1.Petet Manyika
2.Hassan Isihaka
3.Mohamed Hussein Tshabalala
4.Emery Nimuboma
5.Simon Serenkuma
6.Justice Majabvi
7.Awadh Juma
8.Said Hamisi Ndemla
9.Peter Mwalyanzi
10.Ibrahimu Ajibu
11.Hamisi Kiiza.

Wachezaji wa akiba.

Vincent Angban
Hassan Hamissi
Said Issa Mohamed
Mwinyi Kazimoto
Pape Ndaw
Boniface Maganga
Joseph Kimwaga


Kila la kheir Kagera Suger fungeni hiyo mikia goli 2 tu zinatosha.
 

Captain mgosi yuko wapi hapo
 
leo mikia inakula za kutosha tu, maana akili zao zote zimehamia wiki ijayo.
 

haaaa!!!!serunkuma leo anacheza beki? ....kazi mnayo.
 
Kila la kheri Kagera Sugar,nawatakia ushindi wa goli 2-1.
 

Sisi Simba Magoli Yetu Ni Machache Tu 1 au 2 Na Katu Hatufungi Magoli 3 au 4 Ya Kununua Kuwapa Hela Kipa Na Beki Wakati Watu Fulani Walipocheza Na Coastal Union Wiki Iliyopita Na Jana Tena Wakarudia Mchezo Huo Huo Na Safari Hii Wala Hawakupata Taabu Ya Nani Wa Kumpa Jukumu au Watapitisha Wapi Mlungula ( Pesa ) Ambapo Walimtumia Mno Kocha Wa Jkt Ruvu Ambaye Ni MWANACHAMA ALIYETUKUKA Na LIA LIA Wa Timu ( Wazee Wa Kununua a.k.a Mabingwa ) Fred Felix Kataraia Minziro Majeshi Baba Isaya Kupitisha Hela Kwa Yule Beki Wa Pembeni, Wakampa Na George Kavila Na Yule Dogo Aliyekuwa Anacheza Winga Ya Kushoto Ambaye Ni Fundi Sana. Nidanganyeni Wote ILA Siyo Kwa Wachezaji Wa Jkt Ruvu Kwani Karibia 99.999% Ni MARAFIKI Zangu Wakubwa Na Hata Wao WAMEKIRI Kuwa Jana Yanga Waliwanunua. Na Kama Kuna Mwana Yanga Tena KIONGOZI Akibisha Hili Aseme Ili NIFUNGUKE ZAIDI YA HAPA Mpira Wa Tanzania UINGIE KTK KASHFA Na TUFUNGIWE Na CAF au FIFA Kabisa. Mnatumia MAMILIONI Kusajili Wachezaji Wa Nje HALAFU Mechi MNANUNUA Mechi Hivi Nyie Mna AKILI Kweli? Sisi Simba Sports Club Ni Kama YATIMA Ambao Kamwe HATUDEKI. Tunamfunga Mtu Goli Chache Halafu Tunatoa Burudani Ya Kuonyesha KANDANDA La Kitabuni Ili Walioingia Uwanjani Wapate UHONDO Na Wasijutie Viingilio Vyao.
 
Kikosi cha Azam fc kitakachoanza leo dhidi ya Mwadui fc ni:-

Aishi Manula
Shomary Kapombe
David Mwantika
Agrey Moris
Pascar Wawa
Himid Mao Mkamu
Salum Abubacar "Sure boy"
Frank Domayo
Kipre Tchetche
John Bocco
Faridi Mussa Malick

Wachezaji wa Akiba
Mwadini Ally
Gadiel Micheal
Diof
Didier Kavumbagu
Ramadhan Singano.

Nilipenda leo Azam fc wachapwe lakin simpendi Julio, achapwe tu leo pale pale kwake mbele ya Mashabiki wake.
 

Hoja imeungwa mkono, Julio achapwe tu.
 


Leo nimekuelewa..nikajua pia utakua mnazi wa kijani na njano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…