Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Watani wanasema ndio wameanza ligiTabiri zako zote huwa hazitimii pole sn mkuu ingekuwa ndo pepa kila siku unafeli
Sisi Simba Magoli Yetu Ni Machache Tu 1 au 2 Na Katu Hatufungi Magoli 3 au 4 Ya Kununua Kuwapa Hela Kipa Na Beki Wakati Watu Fulani Walipocheza Na Coastal Union Wiki Iliyopita Na Jana Tena Wakarudia Mchezo Huo Huo Na Safari Hii Wala Hawakupata Taabu Ya Nani Wa Kumpa Jukumu au Watapitisha Wapi Mlungula ( Pesa ) Ambapo Walimtumia Mno Kocha Wa Jkt Ruvu Ambaye Ni MWANACHAMA ALIYETUKUKA Na LIA LIA Wa Timu ( Wazee Wa Kununua a.k.a Mabingwa ) Fred Felix Kataraia Minziro Majeshi Baba Isaya Kupitisha Hela Kwa Yule Beki Wa Pembeni, Wakampa Na George Kavila Na Yule Dogo Aliyekuwa Anacheza Winga Ya Kushoto Ambaye Ni Fundi Sana. Nidanganyeni Wote ILA Siyo Kwa Wachezaji Wa Jkt Ruvu Kwani Karibia 99.999% Ni MARAFIKI Zangu Wakubwa Na Hata Wao WAMEKIRI Kuwa Jana Yanga Waliwanunua. Na Kama Kuna Mwana Yanga Tena KIONGOZI Akibisha Hili Aseme Ili NIFUNGUKE ZAIDI YA HAPA Mpira Wa Tanzania UINGIE KTK KASHFA Na TUFUNGIWE Na CAF au FIFA Kabisa. Mnatumia MAMILIONI Kusajili Wachezaji Wa Nje HALAFU Mechi MNANUNUA Mechi Hivi Nyie Mna AKILI Kweli? Sisi Simba Sports Club Ni Kama YATIMA Ambao Kamwe HATUDEKI. Tunamfunga Mtu Goli Chache Halafu Tunatoa Burudani Ya Kuonyesha KANDANDA La Kitabuni Ili Walioingia Uwanjani Wapate UHONDO Na Wasijutie Viingilio Vyao.

Mkuu hilo dua halitotupata Kamwe tulia uangalie mpira mzuri kutoka kwa wanamsimbazi..Ehee ! Mungu wetu uliyejaa rehema ibariki mikia fc ifungwe leo goli 2-0. Amen !!
Sisi Simba Magoli Yetu Ni Machache Tu 1 au 2 Na Katu Hatufungi Magoli 3 au 4 Ya Kununua Kuwapa Hela Kipa Na Beki Wakati Watu Fulani Walipocheza Na Coastal Union Wiki Iliyopita Na Jana Tena Wakarudia Mchezo Huo Huo Na Safari Hii Wala Hawakupata Taabu Ya Nani Wa Kumpa Jukumu au Watapitisha Wapi Mlungula ( Pesa ) Ambapo Walimtumia Mno Kocha Wa Jkt Ruvu Ambaye Ni MWANACHAMA ALIYETUKUKA Na LIA LIA Wa Timu ( Wazee Wa Kununua a.k.a Mabingwa ) Fred Felix Kataraia Minziro Majeshi Baba Isaya Kupitisha Hela Kwa Yule Beki Wa Pembeni, Wakampa Na George Kavila Na Yule Dogo Aliyekuwa Anacheza Winga Ya Kushoto Ambaye Ni Fundi Sana. Nidanganyeni Wote ILA Siyo Kwa Wachezaji Wa Jkt Ruvu Kwani Karibia 99.999% Ni MARAFIKI Zangu Wakubwa Na Hata Wao WAMEKIRI Kuwa Jana Yanga Waliwanunua. Na Kama Kuna Mwana Yanga Tena KIONGOZI Akibisha Hili Aseme Ili NIFUNGUKE ZAIDI YA HAPA Mpira Wa Tanzania UINGIE KTK KASHFA Na TUFUNGIWE Na CAF au FIFA Kabisa. Mnatumia MAMILIONI Kusajili Wachezaji Wa Nje HALAFU Mechi MNANUNUA Mechi Hivi Nyie Mna AKILI Kweli? Sisi Simba Sports Club Ni Kama YATIMA Ambao Kamwe HATUDEKI. Tunamfunga Mtu Goli Chache Halafu Tunatoa Burudani Ya Kuonyesha KANDANDA La Kitabuni Ili Walioingia Uwanjani Wapate UHONDO Na Wasijutie Viingilio Vyao.
Mkuu hilo dua halitotupata Kamwe tulia uangalie mpira mzuri kutoka kwa wanamsimbazi..
Mwadui 0 azam 1 goli la bocco
08' Mins | Shost yake Azam 0 - 0 Kagera Sugar