Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

Mkuu umenipa raha sana,nilidhani wewe ni popoma lakini leo nimegundua siye.
Pamoja sana.

Ha Ha Haaa!.Mkuu Nashukuru Kwa Kongore Ulilonipa.Na Mimi Nalitoa Lote Kama Zawadi Kwa Mikia.Na Nalisindikiza Na Nuizo "Kongore Hili liwasaidie Kuwarejeshea Ufahamu Waliojitoa".Pa1 Sana Mkuu!
 
Okei, toa hilo, zinabaki 2-1, mbili za Kiiza na bado top scorer! hapo je? umerodhika?

Hakuna kutoa hata hilo la pili, ni goli halali kabisa, maana faulo imepigwa Kiiza kawatoka wale mabeki wamesimama tu sijui walidhani wako peke yao uwanjani.

Mechi na Yanga itakuwa ni ngumu lakini uwezekano wa kushinda upo.
 
sitegemei uisifie kazi nzuri inayofanywa na Simba hata siku moja....we ni mtu wa mlengo wa kushoto tu.

Ngoja ajifariji atakapokuja kushituka tuko juu tukifuatiwa na Azam, maana kwa beki ya Juuko, Isihaka, Kessy na Shabalala huku kiungo cha chini akicheza Majabvi na juu Ndemla, pembeni Mwalyanzi na Awadh Juma na sebuleni akiwepo Kiiza na Ajib sioni kwa nini tusiwafunge.
 
Full Time.
Mikia 3-1 Kagera Sugar
Hamisi Kiiza>Hat Trick

...mkuu umejibu kwa shingo upande.. bado na jmosi uje tena kuandika km leo, ok?!
simba 3 - kandambili 0
 

Design kama wewe ndio unajifariji hivi!!!!
Haya na tusubiri tuone,time will tell.
 

Ebu Uangalie Mwenyewe Huu Mziki Halafu Ujikadirie Mwenyewe Kichapo Chako.
1.Deo Munishi/ally Mustafa
2.Mbuyu Twite
3.Mwinyi Haji/oscar Joshua
4.Kelvin Yondani
5.Nadir Haroub
6.Haruna Niyonzima
7.Geofrey Mwashiuya
8.Salum Telela
9.Donald Ngoma
10.Amis Tambwe
11.Simon Msuva
Na Bunduki Nyingine Hizi Hapa Ziko Nje Zinasubiri Na Hamu Ya Harufu Ya Damu Na Njaa Kali Ya Kuua Mtu.
1.Deus Kaseke
2.Malim Busungu
3.Andre Coutinho
4.Vicent Bossou
5.Thabani Kamusoko
Jipimie Mwenyewe Kifo Chako Mkuu Kitakuaje.Husije Kusema Israeli Amekuonea.
 
YANGA. 1st game 2. 2nd 3. 3rd 4. 4th. 5. SIMBA 1st game 1. 2nd 2. 3rd 3 4th. 4. Yanga 5. Simba 4. 5-4= 1. Yanga ataahinda kwa goli 1
 
Hujajua tatizo lako ni walinzi hawa hawa na viungo ndo hata Okwi alisema
 

Yanga timu yenu ni nzuri kuliko yetu, na kwa sababu ya timu yetu ya Simba kuingia kama wanyonge kwenye match hiyo huo unyonge ndio utakaoimarisha kikosi chetu.
 
Ndorobo Nyie!.Mechi3 Mmeshaanza Kumwita Topscorer!.Topscorer Wa Vpl Anaamuliwa Jangwani Nani Awe Topscorer Msimu Huu.Arudi Msuva Au Akae Ngoma Au Tumwachie Mwashihuya.Huyo Kiwete Wa Mikia Hawezi Kua Topscorer
Kuwa mstaarabu bhasi, hamna haja ya kututukana! Muige Makoye Matale.
 
Usisahau kwamba.

KIIZA anakenda kukutana na BEKILAIN ya Taifa Stars.

The fact that hata timu yake ya Taifa hayumo, inaibua maswali ni kwa jinsi gani ataweza kupachika Mabao.
Hivi ni kwa nini mnaleta siasa huku? Mimi pia niko heavily involved ktk jukwaa la siasa ila sioni umuhimu wa kuyaleta hayo huku. Huu ni utumwa sasa! Yaonesha jinsi watu wasivyoweza kujicontroo.
 
Dah! basi hongereni kwa kupata kwa kupata jembe, jamaa yuko poa, sikujua hilo sababu sijafuatilia usajili wa yanga na wala sijaangalia mechi zao!
Tutapata ushuhuda wa ubora wa Yanga hapo jmosi na ktk michuano ya kimataifa.
 
Simba ya mwaka juzi na ile iliyoeudisha goli tatu ilikuwa mbovu kabisa, na yanga ile ilikuwa ktk ubora wake haijawahi tokea, bado mlidunda, sasa sijui unataka kusema nini na hii list ambayo nayo ni majina tu ila kiukweli haina ubora kama yanga ile.
 
Yanga wameanza kuogopa baada ya kuona mziki wa Jana wa mnyama
 
Kuwa mstaarabu bhasi, hamna haja ya kututukana! Muige Makoye Matale.

Mkuu Ndorobo Sio Tusi.Ndorobo Ni Binadamu Yeyote Anaeamua Kujitoa Ufahamu Kwa Makusudi.Ashakum Si Matusi Mikia Wengi Mnaelements Za Undorobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…