Live Update: VPL tarehe 11/04/2015

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
3,856
Reaction score
1,648


UPDATES:
FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons
FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam)
FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)

•Kagera Sugar na Ruvu Shooting imehairishwa hadi jumatatu.
 
Duh! inamana zisipocheza simba nå YANGA hatupati live update.?
 
Dk. 17 Krosi safi toka kwa frank domayo na himid mao anaipatia Azam goli la kwanza.

Azam 1 Mtibwa 0
 
D.k ya 20 Mussa Hassan Mgosi anawafunga Azam.

Azam 1 Mtibwa 1
 
half time mtibwa 1 azam 1
 
Mapumziko: kipindi cha kwanza kimemalizika kwa timu zote mbili kulingana nguvu. Mtibwa Sugar 1-1 Azam
 
Mapumziko: kipindi cha kwanza kimemalizika kwa timu zote mbili kulingana nguvu. Mtibwa Sugar 1-1 Azam
 
kipindi cha pili kimeanza matokeo ni Mtibwa 1 Azam 1. Hakuna mabadiliko kwa timu zote
 
57' Kocha anafanya mabadiliko mengine kwa kumtoa Brian Majwega na kumleta dimbani Farid Musa. Mtibwa Sugar 1-1 Azam
 
Hawa wakata miwa wa 'tobias kifaru' wakifungwa leo adhabu yao ni kushuka daraja tuu!
 
59' Kocha Mecky Mexime wa Mtibwa anajaribu kubadilisha upepo kwa kumtoa Mohamed Ibrahim na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Henry Joseph.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…