KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Yaani ndio nitakufa kabisa mkuu....[emoji23] [emoji1] [emoji2] mkuu huo ji ushindi tu Yanga ikifika fainali si moyo wako utapasuka
Hahahaha mkuu umetisha....wewe ni simba damueYaani ndio nitakufa kabisa mkuu....
hongereni kwa ushindi japo roho inaumaYanga kama kawaida,wa kimataifa wa kimataifa tu.
Nahisi kukupenda kwa sababu tu ya Yanga.Yanga kama kawaida,wa kimataifa wa kimataifa tu.
Ilikuwa proved by using the Principle of Mathematical Induction MkuuToday KAMPA ....KAMPA .....TENA Doctrine was proved beyond any shadow of doubt
Hongereni vyura FC.Yanga kama kawaida,wa kimataifa wa kimataifa tu.
Shukran mikia fc japo kwa shingo upande umetoa pongezi.Hongereni vyura FC.
Mikia mwenyeweShukran mikia fc japo kwa shingo upande umetoa pongezi.
Kwema ndugu?Mikia mwenyewe
Kwema sana tu hahahaahKwema ndugu?
Huu ndio utani kumuombea dua baya jirani yako but mkikutana mnacheka maisha yanaendelea naona wajelajela walikuwa wamebana sana leo.Kwema sana tu hahahaah
Tumeponea chupuchupu kupata sare.Huu ndio utani kumuombea dua baya jirani yako but mkikutana mnacheka maisha yanaendelea naona wajelajela walikuwa wamebana sana leo.
Yaah walibana kweli ikawa taharuki kibao kinasoma haraka 87.Tumeponea chupuchupu kupata sare.