Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha hii ni kama fainaliDk 30 Chelsea 4 Liverpool 0
Naungana na wewe hapo,,messi score braceBarca 3. Madrid 1
Hi thread ya live updates au utabiri?Barca 3. Madrid 1
DuhDk 30 Chelsea 4 Liverpool 0
Akijibu nitag mkuuHi thread ya live updates au utabiri?
utabiri ..hahaaa game mpaka saa 3Hi thread ya live updates au utabiri?
Msisahau kuleta updates za mechi ya Yanga
Haya mzee lkn kama ni mkeka basi wako umeshachanika.utabiri ..hahaaa game mpaka saa 3
sawa ..nikuite shekhe yahaya ..au sharaifu majini "" maana yaonekana uko vizuri kwenye unajimu ..Haya mzee lkn kama ni mkeka basi wako umeshachanika.
Nyodo zimekujaa mkuu,Dk 10
Yanga 0 timu ya huko 10
ZitakujaaMsisahau kuleta updates za mechi ya Yanga