Live updates: Coastal Union V/S Simba Mkwakwani -Tanga.

Sasa mpira huwezi kuuangalia ulivyokuwa wa ovyo, ninatoka dakika ya 85
Ni Coastal 0 Simba 0, nawaaumu zaidi Simba kwa kuwa wenyewe wana maproo but they can`t make any different
 
kwani unaishi mbali boss...au mpira umekuboa!!
 
Mungu ibariki Simba itoe droo hii au ifungwe kama kawaida yake
 
Sasa mpira huwezi kuuangalia ulivyokuwa wa ovyo, ninatoka dakika ya 85
Ni Coastal 0 Simba 0, nawaaumu zaidi Simba kwa kuwa wenyewe wana maproo but they can`t make any different

Bright Obina anatoka Nigeria, Itubu Imbem anatoka DRC, Rama Salim anatoka Kenya; wote watatu wako Coastal Union. Hata Kocha naye ni kutoka Kenya. Hivyo kama kuwa Professional ni kutoka nje ya nchi hata Coastal Union nao wana Maprofessional.
 
hongeren watani naona mmeanza raundi ya pili kama ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…