technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Barcelona anapewa nafasi kubwa kushinda gemu ya leo kwa sababu wana mchezaji bora duniani Messi na faida ya kucheza nyumbani lakini Zidane amesema Yes we can kwenye interview leo so inawezekana ikawa mechi ngumu kwa timu zote. tukae hapa maana gemu ina dakika chache inaenda kuanza.