Upuuzi mtupu el classico nzima wachezaji wanakata tu viuno hamna hata goli moja
~Droo ya bila kufungana ya kwanza kwenye el clasico tangu iwe hivo mwaka 2002
~Zidane kawa unbeaten katika mchezo wake wa 6 mfululizo akiwa Camp now aka Temple (sare 4, ushindi 2)