Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Kila la kheri nasikia kuna mauza Uza sana Mkwakwani!!
Yanga akishinda leo basi ubingwa ni haki yake mwaka huu!
Maana kuna taarifa kwamba azam kainunua mechi hii ili mgambo ashinde!!!
Azam ndio kagharamia kambi ya mgambo na posho tangu mechi yetu(simba)na hii ya yanga leo!!!
hivi azam anakutana na nani?
Hujakosea mkuu unadhani kuna jibu lingine sahihi kuliko hilo!!!!!!wale mikia sc km mvua ingekuwa imenyesha j5 km ilivyonyesha leo,wangefungwa hata 4.timu ya wananchi imejipigia kiulaini.kuna mshabiki wa simba nilikuwa nimekaa nae akaniuliza kwa nn yanga inafungwa na simba?mm nikamjibu kwa sabab ya mganga wa zenji tu.ndio maana yanga tunafungwa na simba.au wadau hilo jibu nimekosea?
Ata Simba mara mojamoja ni raha kama hivi.
Okwi aibeba Simba Taifa, Aifunga Yanga 1-0 | Shaffih Dauda