Hii hapa: AZAM Media Flash Page
Naona refarii anampango wa kuwakosha yanga kwa kadi....
Balaa hili sasa, dakika ya 25 Sisi 0 wao 1
Wamepata bao warabu
Balaa hili sasa, dakika ya 25 Sisi 0 wao 1
Hapa hakuna kitu, tusubiri masumbwi tu ya alfajiri, Yanga tumejitahidi ila Watunisia wamependwa zaidi....Yanga tujipange upya....
Yule mwanga wa asubuhi alikuwa anaombea Yanga ifungwe naona ki-post chake kimefutwa. Sikioni humu. Lolote litakalotokea Yanga Daima Mbele!
wawakilishi wetu wanaongozwa 1 - 0
hamna shida .. Muro alisema Tambwe atafunga hatrick