LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Wakuu simu yangu imecorrupt kidogo.
ila nimerejea raundi ya kwanza iliisha vizuri.
hapa ni piga nikupige
 
Raundi ya Pili hii Mwakinyo anaendelea kujitahidi ila kampa jamaa kama tatu hivi.
Raundi ya pili imekamilika.
 
Tuendelee na Raundi ya Tatu.
Mayala anaongeza spidi kali kidogo.
Mwakinyo anajitahidi kukwepa na kupangua kwa juhudi hapa
 
Ngumi zinaendelea hapa Mwakinyo ameanza na spidi kali sasa.
 
Mwakinyo anataka kumshusha huyu Mtu kwa Knockout
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…