Live Updates: Simba Sc Vs Alliance,Kukabidhi kombe la VPL kwa mashabiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kikosi cha kutia adabu wanafunzi kama tulivyowatia adabu wakongwe Deportive La Utopolo





Reds in Town tukikinukisha na kombe letu
 
Hii timu yangu tangu imbahatishe Yanga inagawa points tu,imekuwa kama wale wanawake tunaowaitaga Chupi mkononi
 
Kikosi full mkoko
Twatarajia mkono (5)
Naweka tu kumbukumbu sawa,
Simba S. C. inadhaminiwa na Sportpesa, kampuni ya kubet ambayo imeweka pia mechi hi ya Simba kwenye list yake.

Namaanisha Simba wakifungwa, Sportpesa wataingiza fedha nyingi zaidi. Muda utaongea.
 
Dah huyu Luis ni mtu hatari sana hakabiki huyu jamaa
 
Konde Boiiiiiiiiiiiiiii Goooooooooo
Bonge ya baoo This goal is from paradise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…