Hatari sana anacheza kama willian vileKonde Boiiiiiiiiiiiiiii Goooooooooo
Bonge ya baoo
Hata hivyo bado haja krick vizuri Mkuu ,Kama uliangalia mechi ya UD de Songo alichotufanya ile siku ile performance bado hajaicheza akiwa na Simba.Huyu dogo Luis ni noma
Zinatosha sasa wawaache tu aiseeKandaaaaaaaaaaaaa Simba 4
Na kweli.Hii timu yangu tangu imbahatishe Yanga inagawa points tu,imekuwa kama wale wanawake tunaowaitaga Chupi mkononi