Live Updates: Simba SC Vs Biashara,Simba kukabidhiwa kombe

Yule mchezaji wa Biashara fc, aliyeifungia timu yake goli dhidi ya Simba katika mchezo uliofanyika tarehe 25 Mei 2019, anafaa kusajiriwa na timu ya simba sc.
Anasifa zote za ushambuiaji. Akikutana na mafunzo ya mpira katika timu ya Simba atauwa bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…