Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Mlio kwenye tv,redio ni noga sana kila tukio
na dakika yake yakawa yanamwagwa hapa
ilitujue linalojiri uwanjani kadhalika na matokeo yake.

Wenye panadol,hedex,asprin na vitulizo mbalimbali waanze kumeza maana mpira ni dakika tisini.
 
Fisi kaacha mzoga halafu Yanga wakuuchukua....Tazama sasa kumbe mzoga ule ulikuwa ni sumu..
 
Hivi yule aliyepokelewa airport kwa mbwembwe ameingia kweli, mbona haonekani?
 
Hivi mshindi wa leo anatoka na kitita cha kiasi gani.
 
Simba wanakosa magoli ya wazi...

Huyu Amri Kiemba ni wa Ulaya kabisa..Sijui kwa nini bado yupo Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…