Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Mlishitukia mapema kwamba uwanjani hamuwezi ikabidi mjitahidi kugonga bia ili angalau mpate hizo hela.
 
Narudia tena Simba 2-1 yanga hili la 3 ni la kaseja na simba-yanga wenzake
 
Hongereni sana WATANI ZANGU JEMBE Simba...

The best team won....

Yanga walijiamini sana na Simba wakautumia udhaifu huo wa Yanga kujiamini kuwapiga bao 2 za fasta na hatimae wameshinda..

Mpira si maneno ya mdomoni, mpira ni uwanjani dakika 90..

Nadir Haroub kazeeka...Apumzike sasa..

Tchaoooo

Bala.
 
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mpira umekwishaaaaaaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hahaaaa huyu mtangazaji anasema Yanga waache kuchezea mpira mdomoni na kwenye magazeti ..hahaaaaa
 
Yanga-Cardiff-Sima-Liverpool...........same shit 3-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…