Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

FUll Time

MTANI JEMBE, Simba 3-1 Yanga
 
Ina maana Yanga leo watafaidika na zile fedha za walevi?

Safi sana naona wachezaji wanabadilishaba jezi na wanaongea kirafiki...Maendeleo haya
 
hizo JEZI za NJANO na KIJANI lazima zisondwekwe kwenye RAMBO lasivyo kesho tutazikuta kwenye MITARO
 
Naipenda simba shabiki wa dam.... Wameinama wameinuka wanaona haya haoooooooooooo
 
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Shukrani sana wadau kwa updates..long live JF!
 
Katika pambano la mtani jembe, Simba mabingwa wa mpira na Yanga mabingwa wa unywaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…