Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Mtani jembe yanga kashinda kutuma namba za vizibo simba kashindq uwanjan hahahaa hii ni msg mkajipange upya na sasa usichukuwe wachezaj tu cos hamuweza watumia mumsajir kocha mfundishe kucheza mpira.
 
Halafu kwenye ligi Yanga mlete ungese kama huu....tutawa........!
 
Mgeni rasmi na rais wa TFF wote Yanga, mbona wamenuna hivyo? Kuna watu wamezimia aisee, poleni Yanga.
 
Kuna shabiki wa yanga kazimia uwanjani.
 
Halafu Tigo wananiboa na Komodem chao.....huku tufungwe bado kimtandao chao\

kinizingue Kudadadeki zao
 
Katika pambano la mtani jembe, Simba mabingwa wa mpira na Yanga mabingwa wa unywaji.

Mungu ni mwema wakati wote, haiwezekani Simba wawe ni wa kusononeka tu siku zote, wamekuwa na wakati mgumu muda mrefu, leo ni siku yao ya kufurahi. Hongereeni sana, mmecheza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…