Mpwa naamini haya matokeo hayatavuruga undugu wetu. Mi jembe, we panga. Sote tunalima.
Wii we acha tu...sijui we na kaka mko tim gani
Ah Kiongozi, Upo?
Shabiki wa YSC
tupo kwenye sports huku..sio MMU! ila haki yako, ntakutumia namba yake ya simu PMHuyu Singano si haba......pale kifuani Mashalaah
Aiseee...nimekutamani ghaflaLeo hakuna Unyumba.tulivyofungwa leo vinanitosha