Live Updates: Simba Vs Yanga - Uwanja wa Taifa, Dar (Disemba 21, 2013 - Nani Mtani JEMBE?)

Yanga uwezo wenu mdogo sana wa kucheza na samba, mkajipange
 
Wako wapi wale Yanga migongo wazi walioapa kwamba Tambwe hawezi kuwafunga.Kafunga magoli mawili.Singano nasikia Yondan anamuota.:happy::happy::happy::happy:
 
Mmojawapo Makoye Matale leo ana Ban yakujitakia na mwenzake Mendieta.Fan wa Yanga Balantanda wengine wa kichina tu.Wakishinda maneno mengi wakifungwa kimya.Manji anadai ni Bonanza kwanini mnafukuza benchi la ufundi na ni friendly match.:crazy::crazy:
 
simba 3 - 1 simba veteran hahahahaha!!! Simba tupeni rahaaa mtaani jana kuna mtu amezimia aliposikia jina la Tambwe!! Ni maumivu!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…