Utawakubali watakapowafunga.wachezaji wa simba wamekondeana dahh
wachezaji wa simba wamekondeana dahh
Rangi ya Yanga huwa inaupendezesha sana Uwanja wa Taifa.
mambo ya mwamba ngoma hayo..Mnyama unyamani, tupe mambo leo.
Nisikitika kuwatangazia mdau mwenzetu KITOABU leo hatutakua nae, wameshampa haki yake mapemaa.
Utawakubali watakapowafunga.
...Okwi yuko bench
Nikupigia mstari tu.BAN imeshatembea nini?