OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hatari inatokea hapa langoni mwa Simba,Majavi anaokoa hapa
kiemba kaingiaje hapoJamani hawa madogo wanacheza,Kiemba,ndemla,kiiza,majavi,kiiza,lyanga ni one two one two
Mkuu umekosea kiemba hayupo simba bhana ni mkude labda huyoJamani hawa madogo wanacheza,Kiemba,ndemla,kiiza,majavi,kiiza,lyanga ni one two one two
Kiemba ni mchezaji wa Stand unitedkiemba kaingiaje hapo