Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

kwa anaefahamu naomba anijulishe...Ivi kwa timu itakayoongoza kundi lake nikwamba inafuzu moja kwa moja au kuna mchakato mwingine?
 
kwa anaefahamu naomba anijulishe...Ivi kwa timu itakayoongoza kundi lake nikwamba inafuzu moja kwa moja au kuna mchakato mwingine?
Sina hakika sana, wengine watanisahihisha kama nimekosea.... timu 5 toka Africa zitapata tiketi ya kwenda Brazil kushiriki kombe la dunia 2014. Sasa hivi kuna makundi 10. kila mshindi wa kundi; yaani nchi kumi zitacheza mtoano, yaani nyumbani na ugenini, kisha washindi wa hapo ambao ndio hao watano wanatakiwa ndio wataenda kwa Maximo.
 
kwa anaefahamu naomba anijulishe...Ivi kwa timu itakayoongoza kundi lake nikwamba inafuzu moja kwa moja au kuna mchakato mwingine?

bado mchakato unaendelea baada ya hapo.
 
ni kwel mkuu!
 
moyo huu wa kuwasifu tusiubadlshe wakifungwa. Hongera Taifa stars, hongera Tanzania
 
Nimekusoma Bro...Thanks.
 
DAKIKA 84 TANZANIA YAONGOZA.:clap2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::first:
 
Waungwana, hivi yupo yeyote mwenye clip ya hii mechi atubandikie kwenye Youtube?:sick:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…