Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Tunaomba link pls


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Stars wanafanya shambulio la hatari, basi tu bahati imekuwa upande wa Gambia.
 
hii tv ya ccm vipi ?? Mbona wanapiga story tu?
Tbc1 safari bado ndefu
 
Vijana wanacheza vizuri ila ndo hivyo wameshatutangulia, wamepata goli dakika ya nane.
 
Kazimoto kagongesha mwamba hapa, vijana wanacheza vizuri sana, kidogo sijafurahishwa na Maftah, kasi yake si ile ya siku zote.
 
TBC Taifa naona ndo wanataja vikosi sasa, hawa jamaa hawako serious.
 
I bet hadi Magamba waondoke madarakani ndo we'll make a step, otherwise hii ndo itakuwa style yetu.
 
Tanzania sijui ni lini itaachwa kuitwa ''Kichwa cha Wenda Wazimu''. ni kuabishana tu huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…