Mboga za Iringa mbaya sana, wewe badala ya kula utakuwa unavuta moshi wake, kwa hiyo Maximo wako na kina Ivo walikuwa hawafungwi.
Mkuu hapo hatuchomoki!! Uko taifa au nawewe kama nayeangalia kupitia JF?Aya bana!
Mkuu, hata CCM tulikuwa tunawapa kura hivyo hivyo kwa kusema "May be they will make it". Matokeo yake unajua!! Dawa nii kufumua fumua kila kitu! rudisha hamasa kwenye UMITASHUMITA, UMISETA na UMIVYUTA! tutapata vipaji vya maana siyo hawa jamaa!!wadau its still early,may be they shall make it
Mkuu mimi mambo ya utabiri siyawezi, lakini napenda Stars tushinde.Unatabirije matokeo?
Mpaka siasa za magamba zitakapokoma!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
1-1 website zingine zinaonyesha.
Ndo maana tunamsajili huyo Dogo No. 20 pale Jangwani,hili halina mjadala
Achana na mambo ya usajili mkuu kwa sasa tuko serious na mambo ya kitaifa.Ndo maana tunamsajili huyo Dogo No. 20 pale Jangwani,hili halina mjadala