Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Kaseja karukia mpira na kupata majeraha baada ya kuanguka.
 
Bila kubebwa ngoma ilikuwa isha kula kwetu hiyo.
 
mambo mazuri maana jana ivory coast wametoka are 2-2 na morocco
 
Ni kweli lolote linaweza kutokea. Mpaka filimbi ikilia ndio tunajua kimeeleweka!
 
mboga za iringa mbaya sana, wewe badala ya kula utakuwa unavuta moshi wake, kwa hiyo maximo wako na kina ivo walikuwa hawafungwi.

bora zako za arusha hizo ee? Maana hizo ukipoluza unashindwa kuona kilichokuwapo wakati wa maximo..!!
 
Mbwana Samata kaumia na Kaseja alishatibiwa na kurudi mchezoni.
 
Bila kubebwa ngoma ilikuwa isha kula kwetu hiyo.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,na kama haujakiona kitu ni bora kukaa kimya....Hajabebwa mtu,tumewazidi kimchezo na hata penati ni ya ukweli kabisa maana jamaa kaunawa mpira....Sasa sijui ulitaka refa aache....
 
Dakika ya 90......Taifa Stars 2-1 GambiaKona kuelekea langoni kwetu.....Kaseja anacheza vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…