Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Kutoka hapa uwanja wa Taifa napenda kuwashukuru wanaJF wote kwa kutembelea jukwaa la michezo, ni mimi ripota wenu Masuke hadi wakati mwingine tena.
 
  • GOAL Ethiopia 2-0 Central African Republic hawa wangeshinda siyetusingeshinda ningevunja uwanja wa Taifa wote na bakora wachezaji mpaka viongozi wampira bahati yao Hongera Taifa stars. Kilakshari upoooooooooo.

punguza munkari Taifa Staz inaonyesha matumaini makubwa...
 
...Powa sana stars, sasa subiri zuzu Nape na wenzake waje na ***** wao kuwa ni kutokana na sera nzuri za chama cha majambazi aka magamba..!!
 
Jana matokeo yalikuwa Morocco 2 - 2 Ivory Coast.............Kwa matokeo haya tumepanda hadi nafasi ya 2 nyuma ya Ivory Coast,
 
Moroco 2 Ivory cost 2, hivyo basi group itakuwa kama hivi
1. Ivory cost pts 4
2. Tanzania Pts 3
3. Moroco pts 2
4. Gambia pts 1
stars wakaze buti wanaweza fuzu kwenye hili kundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…