Live Updates : Tuzo za VPL toka Mlimani City

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tukusanyikeni hapa kupata updates za tuzo mbalimbali kwa wanamichezo walioshiriki VPL msimu 2019-2020 nikiwarushia matangazo moja kwa moja toka ukumbini.

Kwa kweli ukumbi umependeza sana. Ingawa naumia wameweka mirangi ya simba but ukumbi umependeza sana. Hii nadhani imeondoa ile dhana ya kufanya ukumbi uonekane kama wa kikwete kule dodoma.

Sisi yanga hatutakalia marangi hayo mekundu.tumekubaliana kuja na vitambaa vya kutandika chini.



1.Hongera sana dogo Novatus Dismas kwa kuwa Mchezaji bora chipukizi🔥🔥

2. Kocha bora VPL 2019/2020 ni Sven Vandenbroeck SIMBA ....💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

3. Keeper Bora ni Aishi Manula

4. Ramadhani Kayoko mwamuzi bora kijana

5. Nicholas Wadada Beki Bora

 
Hizo rangi ni za Mdhamini wa Ligi Vodacom
 
Hongera Ihefu kwa kupanda daraja.
Zaidi ya DSM Mbeya ndio Mkoa pekee kihistoria kuwa na timu tatu zinazoshiriki ligi kuu kwa msimu mmoja
 
Kagera nidhamu mbovu ile mechi na Simba iliyofanyika kagera Ajibu alifanyiwa rafu ambazo si za kimichezo
 
Mikia fc ndo tako moko fc wanaua bongo soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…