Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

What a goal by Asha Rashid 'Mwalala'

Dakika ya 89
Twiga Stars 4-2 Namibia
 
Huyu Mwanahamis Omary ni nomaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakuu mbona wachezaji wetu wengi wana majina ya kiislam?au wa dini hiyo ni wachezaji wazuri?
 
Goooooooooooooooooooooooooal

La 5

Mwanahamis Omary
 
Gooooooooooaaaaallllll la 5 pale.Mwanahamis Omary..
 
Twiga hawapo nyuma,wameichapa namibia 4 kwa 2,upo live ITV.tusibiri kama yatabakia hivi hvi.
 
twiga star5 - namibia 2. lakini goal tulilofungwa na namibia la pili refa kawapa.
 
goli la tano mwanahamis noma kweli huyu mzaramo
 
Tanoooooooo!!!Mwanahami omary anatishaaaaaaaaaaaaaa
 
Huyu binti anatisha wakuu....

Twiga Stars 5-2 Namibia
 
Wakuu mnaona pasi hizo.......Hangaisha *****.......lol

Mwanahamis anakosa goli la wazi
 
Mpira umeisha

Twiga Stars 5-2 Namibia

Safi sana Twiga Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…