Live Updates VPL: Simba Sc Vs Biashara Utd,Mkapa Stadium

Simba tunaomba mjenge uwanja basi Timu kubwa hata kiwanja hamna
 
Biashara Haishindi Ila Lahaula Inang'ara Hawa mabingwa wanabebwa Kama Paula Wa Kajalla.

Biashara Forever
Simba leo tumekuwa na biashara bora kabisa yenye faida za Mabilioni sio Kama ile biashara ya Utopolo usajili wa bil 2.5 alafu mpira wa ovyo ovyo
 
UOTE="Dam55, post: 36748176, member: 330130"]
Simba leo tumekuwa na biashara bora kabisa yenye faida za Mabilioni sio Kama ile biashara ya Utopolo usajili wa bil 2.5 alafu mpira wa ovyo ovyo
[/QUOTE]wametumia milioni 957 siyo b 2.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…