Live updates: Yanga vs Az Leo tar5.3.2016

Live updates: Yanga vs Az Leo tar5.3.2016

Mimi naripoti toka kwenye kibanda umiza huku mwakaleli
 
Yanga ndo timu yenye wachezaji wazee zaidi kwenye mechi ya leo
 
Hii mechi Kali.
Mashambulizi matatu ndani ya dakika
 
Duh mechi imekuwa Na amsha amsha mapema sana
 
Azam TV wana matatizo Sana mbona hawaoneshi mechi ya simba na mbeya city?
 
Hii mechi wazee wa mafuriko lazima wapigwe
 
Back
Top Bottom