Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili.
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni
@angelnyigu •
Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Muziki na Dansi (Best Male Dancer of the Year) ni
@chino_kidd7 kutoka Bad Nation