Live: Yanga na Simba

ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh babe, wamepakatwa tena, ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, l
 
hayo ni magamba yanafanya kazi mzee,,, power yake ni kama Umeme wao ndg...
 
Leo ni Cku Mbaya kwa Wababe wa Soka Duniani
 
There are currently 143 users browsing this thread. (56 members and 87 guests)

Nilisema akifungwa mtu watu wenyewe watamiminika jamvini duh
 
Wenye maneno machafu naona watatulia leo, vipi updates wakuu hamna??
 
Huu mpira hauko fair, nitasikiliza vipindi vya michezo baadae. Nisije nikaharibu kibodi.
 
Wakuuu
Nyepesi nyepesi ni kuwa Mh Mbunge anadai, kocha si mzuri lazima na wao watafute mzungu ha ha ha ha, maaana Yanga alipochukua Mganda na wao wakaenda kutafuta Mganda, Yanga wamefukuza Mganda na wao wanaaza songombigo wamtimue walete Msebia pia ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…