Live: Yanga na Simba

usiache kutupasha kaka mpira dakika tisini endelea na updates huenda mambo yakabadilika
Tangu mwanzo tunakosasa tu sitegemei kama tutasahihisha makosa yetu kwa dakika hizi chache...bado dakika 2
 
Hiyo Radio One haipatikani Online wakuu na sisi wengine tusikilize!
 
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...
 
HT Manchester C. 0 - 0 Wolverhampton W.

HT Norwich C. 0 - 1 Blackburn R.

HT Sunderland 1 - 1 Aston Villa

HT Swansea C. 0 - 0 Bolton W.

HT Wigan Athletic 0 - 1 Fulham

17:30 West Bromwich A. ? - ? Liverpoo
 
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...

Mkuu sasa mbunge si ndo mwenyekiti wa Simba, au hujui? na huwa anavaa kijani na njano ha ha ha ha ha
 
Rashid Gumbo anaingia badala ya Asamoah....wakati huo huo tegete katukosa kosa
 
Mkuu sasa mbunge si ndo mwenyekiti wa Simba, au hujui? na huwa anavaa kijani na njano ha ha ha ha ha
aaaaaaaaaah kumbe unaimanisha mzee wa kipaja...
 
yaani hata hili unasubiri mbunge aseme.....simba kocha ni mbaya afadhali hata wa yanga aliefukuzwa bahati nzuri simba usajiri wake ni mzuri na tunafanya vizuri...

Mkuu lakini ushindi ukiwepo kocha hawi mbaya, mpaka mfungwe lakini??Nadhani itabidi tukubali matokeo tu kwamba kufungwa lazima na sio kocha ndio mbaya!!
 
Mpira umekwisha hongera yanga.............
 
ahh mpira Simba ilikuwa washinde leo..Timu nzuri ila kocha hana jipya..Nimesikia kuna mpango wa kukatisha contract yake na akarudi mserbia Milovan ambae alikuwa anichezesha simba toal football..watch this space
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…